Hahahaha...bado ndugu yangu, ninadhalilika tu sasa hivi humu, nimepewa stakabadhi tu bila malipo. hii serikali iache tu Mungu yupo itapazwa maana imesema itanunua na sasa hawajanunua wanatoa stakabadhi tu.
Yaani nilianza kukopa, mfano juzi nimekopa TV used ni smartTV, ila huyu Dullah ni mtu mzuri maana naye alinunua korosho za kangomba namfichia siri
Nimekuelewa, Chief....hii salamu inapaswa kuisha sasa, kama vipi umjumlishe na ningendako wiki bado mbichi sana tafadhari
Uko sawa loveNo no
Hatulali mwache atalk that talk eeh nataka kukufahan zaidi s wajua na taarifa kama hizo zitanisaidia kuexplore hili gurudum letu?
Uko sawa love
Bhasi mm nilijua umechoka na unahtaji kupumzika,,kama upo sawa haina shida acha tumsikilize binamu,binamu yangu mtu mkalimu sna
nitamsikiliza only if akiwa ana make sense, but wakat mwengine fitna hua mbolea kwa penzi hasa penzi changa honey
...you might be right or not! Juzi nilikuwa na penzi jipya humu, yaani nimejitahidi kufanya kila linalowezekana lakini nimepigwa fitna hadi nikapoteza penzi langu. Bahati nzuri walionifanyia fitna nawajua, ni ndugu zangu kabisa na kama unavyojua karma is a b.... (broad)
Aaah!!bhasi ngoja nisitishe utambulishe lov,,,twende tukapumzike sasa,,maana binamu namuona tayali kaanza kuleta fitina hapa.
Hata yule aliyempeleka China,ili awe na chura nasikia pia uteuzi wake umetenguliwa na jiwe..duh, ha hahahaha, ngoja akija ndo utaamini, muulize Behaviourist kakosa chura sasa anatafutiwa wizara ambayo haina chura bali hips za nyoka
Kua na amani, mantakhouf, we are in this together sikuachi nyuma hata
...duh, maneno haya mazuri kama umelishwa limbwata la bata
nafurahi kusikia hvyo lavKua na amani, mantakhouf, we are in this together sikuachi nyuma hata
aya babenafurahi kusikia hvyo lav
Hahahaha
Sasa binamu ww utaanza vp matumiz ili hali hata mpunga bado haujasoma vzr?kwa hyo na zile namba za sepenga ulizokuwa unakesha kuztafuta zmekuwa useless??
Kingine kipi umekopa binamu mbali na tv used haha
Usijar,tupo pamoja hapa,,Nafrah kufahan una ndugu wakarimu, aya me naona leo usingizi umehama
Hahahahaha anko wako yule binamu...you might be right or not! Juzi nilikuwa na penzi jipya humu, yaani nimejitahidi kufanya kila linalowezekana lakini nimepigwa fitna hadi nikapoteza penzi langu. Bahati nzuri walionifanyia fitna nawajua, ni ndugu zangu kabisa na kama unavyojua karma is a b.... (broad)
Nafrah kufahan una ndugu wakarimu, aya me naona leo usingizi umehama
Safi sana bibie,,labda ushauri wako ataufanyia kazi,,,mm nilimshauri sana,,,akadai ww kijana huwez nishauri mm hvyoPole hakua anakupenda thats why akakuacha uende, sometimes kupigania penzi lako ni ruksa kwa mtoto wa kiume nawe ukamwacha tu akaenda hamkua mnapendana nyie, usiwalaum wengine laum mioyo yenu kwanza
Usijar,tupo pamoja hapa,,
Ulisema uzima wangu,uzima wako,,,usingiz wako usingiz wangu pia,,,usingiz ukihama hata kwangu unahama pia
Safi sana bibie,,labda ushauri wako ataufanyia kazi,,,mm nilimshauri sana,,,akadai ww kijana huwez nishauri mm hvyo
Pole hakua anakupenda thats why akakuacha uende, sometimes kupigania penzi lako ni ruksa kwa mtoto wa kiume nawe ukamwacha tu akaenda hamkua mnapendana nyie, usiwalaum wengine laum mioyo yenu kwanza