Ha ha haha binamu,,mm nimetulia sana,kwelu unashindwa kufahamu kama binamu yako katulia au hajatulia???hapa yupo sehem salama kabsa...ha ahahaha, umetisha binamu, nakuombea mafanikio mema, ila sasa na wewe ujitulize maana huyu Madame S anaonekana katulia
Very alive, Thank You.
Niko poa sana binamu,,habar za kwako??vp mapesa ya koroshow bado tu???....nilitaka jibu la maana na nimelipata, uko salama lakini mdau
Sawa bby!!Nichukue nafas hii nikutambulishe kwa ndugu yangu capitalpool shemej
capitalpool popote utakapomuona Madame S bhas usisite kumjulia hali,,shemej yko
Usimsikilize binamu bae!!Kumbe hajatuliaga?
Kumbe hajatuliaga?
Very alive, Thank You.
good then, Madame S doesnt mind, s wajua ukipenda boga penda na ua lake na ukipenda waridi uvumilie miiba, ntambadili atakua vile nataka.....yeye ndo atakueleza lakini anko wangu Lyon Lee ndo rafiki yake sana, na anko wangu hajatulia kabisa. Ila simaanisha binamu ningendako hajatulia. Si unanijua mimi namuongeleaga tu anko wangu
Aaah!!bhasi ngoja nisitishe utambulishe lov,,,twende tukapumzike sasa,,maana binamu namuona tayali kaanza kuleta fitina hapa.Hahaha, asante love, unanifanya nione aibu
...hii salamu inapaswa kuisha sasa, kama vipi umjumlishe na ningendako wiki bado mbichi sana tafadhari
nitamsikiliza only if akiwa ana make sense, but wakat mwengine fitna hua mbolea kwa penzi hasa penzi changa honeyUsimsikilize binamu bae!!
ha ha ha ha ha,,binamu bhana,,anko Lyon Lee pia hana neno kabsa,,tatzo ni ww binamu....yeye ndo atakueleza lakini anko wangu Lyon Lee ndo rafiki yake sana, na anko wangu hajatulia kabisa. Ila simaanisha binamu ningendako hajatulia. Si unanijua mimi namuongeleaga tu anko wangu
Hahahahahaha...hii salamu inapaswa kuisha sasa, kama vipi umjumlishe na ningendako wiki bado mbichi sana tafadhari
Niko poa sana binamu,,habar za kwako??vp mapesa ya koroshow bado tu???
Aaah!!bhasi ngoja nisitishe utambulishe lov,,,twende tukapumzike sasa,,maana binamu namuona tayali kaanza kuleta fitina hapa.
nakupa tahadhari tu,,usije sema mbona hukuniambia mapema juu ya fitina za binamu,,ni ndugu yangu huyu namfahamu vyemanitamsikiliza only if akiwa ana make sense, but wakat mwengine fitna hua mbolea kwa penzi hasa penzi changa honey
...right on. Ukimpenda mvuvi vumilia shombo
ha ha ha ha ha,,binamu bhana,,anko Lyon Lee pia hana neno kabsa,,tatzo ni ww binamu
nakupa tahadhari tu,,usije sema mbona hukuniambia mapema juu ya fitina za binamu,,ni ndugu yangu huyu namfahamu vyema