Makapuku Forum

Hahahaha

Mkuu mie sijui hayo,kwa sasa ni msomaji tu hapa
ijumaa ya Leo mapema niko kwa mangi
Mambo ya utani usichukulie serious woiii huku tunakuja kupunguza stress za vyuma kukaza tucheke tufurahi maisha yenyewe mafupi unaweza hata kuninunia kwa mambo ya utani uwe na mchana mwema
 
Picha ya rais Uhuru Kenyatta akicheza pool katika ukumbi wa michezo wa kambi ya jeshi la Kenya Lanet Nakuru imeibua gumzo mitandaoni baada ya kubainika babake Mzee Jomo Kenyatta ndiye aliyeizindua mwaka wa 1975.
 
Heh!!
Hizi teuzi za jiwe na wasiwasi nazo sana,,tazama kama hii teuzi iliyofanywa jana,,toka nmeteuliwa nipo nipo tu,,hyo ofisi yenyew sijakabiziwa nipo kama wazir kimvul[emoji134]
Hahahhahah
Baba wawili kuwa na subira mbona una haraka hivyo nimependa hiyo avatar
 
“Mwacha mila ni mtumwa “Sherehe 3 za kitamaduni za jamii ya Maasai zimejumuishwa kwenye orodha ya 2018 ya tamaduni zinazostahili kulindwa zisiangamie.
Sherehe hizo za tohara Enkipaata, Eunoto na Olng'esherr, ni nguzo za jamii ya kiMaasai inayopatikana Kenya na Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…