Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,386
- 95,820
Wooooyooooooo
Cha ugimbi umeacha kujivunga[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Roho mtakatifu kafanya kaz yke
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaha, Hahahaha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kuwa nae makini anko wako...huyu anko nina mashaka kama kweli ni kaka wa mama yangu, haiwezekani niwe na anko mkoloni kama Bob Mugabe
Hahaha binamu asante sana,,nimeuona huo mzigo,,si wa kitoto...ha hahahahahaa, dah, koroshow nimeipenda hiyo, wale wakongo itabidi wajiandae sana, itabidi kwa namna ulivyoikalisha kamati ya kunisaidia kuaminika kwa baby Mary basi mcheza shoo wa Koffi anayekata mauno sana na ana shanga nyeupe anakustahili
Hahaha kwema ankoMimi na anko wangu binamu kweliii ?
Mnatugombanisha
Asante binamu,,alhamis njema na kwako piaBurudika na muziki huu ambao aunt yangu Shunie kataka uchezwe usiku huu na kama mnavyojua, mimi huwa nakuwa wa mwisho kujua masuala mbalimbali na hivyo nakuwekea uburudike muda huu. na ujue nini wewe mdau wa Jukwaa hili ningendako , Numbisa , Tumosa , marybaby , Lyon Lee , muafi , Slim5 , Behaviourist , Mtoto halali na hela , Mndali ndanyelakakomu , KingY , moneytalk na wewe ambaye sijakutaja, huwa mnanipa sababu ya kuja hapa maana jukwaa hili ni sehemu nzuri kuwepo sababu wewe upo. Alhamis njema
AiseeeNamzoom mwenye shanga nyeupe
Kila la kheriHahahaha, bado naendelea na Maombi lkn
Shikamoo kaka angu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kuwa nae makini anko wako
AhsanteKila la kheri
Kwema huko?Shikamoo kaka angu
Umepatwa na nini?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huwa sipoi kirahisi rahisi km unavoisema hapa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] pole
KatekwaLeo najisikia vibaya kwa sababu sijamsalimia shangazi shikamoo![emoji19][emoji19][emoji19]
Mungu mwema yanaendaMarhaha dada angu!!Kwema huko?
Habar za majukumu?
MefurahiUmepatwa na nini?
Basi komaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]Huwa sipoi kirahisi rahisi km unavoisema hapa
Mfyuu embu kuwa na adabu basiKwani Dada bado unampenda