[emoji120] [emoji120] [emoji120] AminaTunaanza tunamshukuru mungu mola wa ulimwengu wote.
Tunamshukur mungu kwa kutujaalia kuiona siku ya leo na pia kutujaalia afya njema.
Tunamuomba mungu aturahisishie mambo yetu na atujaalie tue miongoni mwa waja wake wema.
Amin Amin.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tumeshapewa taarifa ukoo mzima,hapa tunamsubiria afike
Hii ilikuwa jana baada ya kupata taarifa kuwa binamu Obe yupo njiani anakuja
View attachment 941182
Uzima upoHi[emoji113]Binam yake bby[emoji4]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]na wa bebez tupo tumepanga foleni ati.![emoji32]
Uzima wa Muumba upo,lkn hofu imejaaUzima upo
Kuna Kicheko cha maumivu eti.?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nashukuru Mungu mie wa afya kbs,hofu kwa wanajukwaa popote walipo na hali zao.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tumeshapewa taarifa ukoo mzima,hapa tunamsubiria afike
Hii ilikuwa jana baada ya kupata taarifa kuwa binamu Obe yupo njiani anakuja
View attachment 941182
[emoji23][emoji23][emoji23]na wa bebez tupo tumepanga foleni ati.![emoji32]
Marhaba dada angu,Shikamoo kaka Ninge
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]shangazi anafuraha sana,,toka hz habar tuzipate kuwa tayali umeshaenda biyulodechenji,,huku ni sherehe kila sikuNamuona aunt yangu hapo kapigilia mparo wa ushungi utasema yuko kwenye kampeni za CCM
Ha ahahahhahah
[emoji38][emoji38]hayo mambo ya nikinywa maji nakuona kwenye glass bhn mi staki.....khali yangu sasa imekuwa nzuri maana nimekuona Jukwaani, yaani ulipopotezwa wikend niliumwa hadi wakataka kunipeleka kwa mganga tiba mbadala, nilikuwa sili, silali nakuwaza wewe. Hebu nihurumie, ukitaka kupotea humu ita matarumbeta uniage.
Missed you na niko happy kukuona
Hahahaa..aisee unajua hata bibi alikua kijana zamani.?....wewe utakuwa upande wa mgeni rasmi maana nakupenda na kwa kuwa nasubiri dola ziruhusiwe weewe ndo utahusika kuhesabu si unajua kizungu!? Dola haihesabiwi kiswahili kama shilingi
Huu ukoo mna heka heka km mchwa [emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]shangazi anafuraha sana,,toka hz habar tuzipate kuwa tayali umeshaenda biyulodechenji,,huku ni sherehe kila siku
Chichiemu ndo mambo yao eti.?Namuona aunt yangu hapo kapigilia mparo wa ushungi utasema yuko kwenye kampeni za CCM
Ha ahahahhahah