Makapuku Forum

.....usimuamini kabisa mtu anayekuongelesha huku anatafuna karanga, sikutekwa wala kufumaniwa, puuzeni taarifa hizi, nilikuwa Lushoto naishangilia Taifa Starz.




Oh, ni Lesotho sio Lushoto, kidole hakina ulimi
wakati wa kwenda mbona matangazo yalikuwa mengo,kurudi mnafanya kimyakimya mbona
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…