..nilikuwa Lesotho anko, sijatekwa na wala yule hakuwa mke wa mtu, alikuwa tayari katalikiwa ila kocha wa Starz pumbavu sana, nisingefumaniwa kama tungeshinda japo matatu.
Mzima lakini
.....usimuamini kabisa mtu anayekuongelesha huku anatafuna karanga, sikutekwa wala kufumaniwa, puuzeni taarifa hizi, nilikuwa Lushoto naishangilia Taifa Starz.