[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] memory MB 212.....ras Simba anaaminika sana, ila sasa ubongo wangu ni MB 212 tu itachukua miaka kuelewa, hapa huyu mrembo si atachoka kusubiri maneno ya kiinglish toka kwangu!1!
Kumbe unataka ufundishwe kikongoman binamu,hukusema mapema sasa....itabidi niwalaumu tu hakuna namna, maneno ya kiinglishi yananikondesha na huwezi kujua kesho itakuwaje, leo nakonda tu kwa kuongeleshwa kiinglishi na ras Simba.
...hivi haiwezekani mkanipeleka kwa mwalimu wa lugha ya Congo, huko anaweza kujua mambo mengi, halafu kilingala nakihitaji kwa sasa, nikiuza korosho nataka kuwa pedeshee na wakiwa wananiimba marapa wa Mashujaa band nataka niwe nawaelewa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hasaidiki huyuUnaharibu kila pande ss[emoji38][emoji38]
We ndo wakukichangamsha ss[/QUOTE
Dada
Hahahahaaa uwiiiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndooooh naniiiii
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kibaridiii cha leo
Shangazi shikamoo!makapuku bado mupo kumbe
[emoji41] [emoji41] [emoji41]Mvalieee shangaa uone kama hutomchokaa ...anapendaa shanga balaah
Pole.Sijaona mpnz
Nakwambia,,kivuruge sn huyu kila sk bora ya jana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mwishoni ameharibu
[emoji38][emoji38]safari moja huanzisha nyingineAchana nae
Alafu mimi ndo nilikua ktk bus hilo eti,?[emoji30] [emoji30]Tobaaaaa
Kamateni bakora[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hasaidiki huyu
Tupooo..makapuku bado mupo kumbe
Naulizaaa tuHahahahaaa uwiiiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
makapuku bado mupo kumbe