Nipe tena wabaya wangu leo wakanywe majii
Afadhali umenisaidia kuulizaalizwe vipi ss.?
Nipe tena wabaya wangu leo wakanywe majii
😑😑Namjuaa mbaya wangu huyu
😂😂😂😂ndio wanasemaga usk na kz njema eenh.?Apo sawa sasa tuliaa anko kaagiza karanga za kutosha na kung fu energy drink ukitoka chinaa kazi unayo
Maji ya wikiendi. ?Nipe tena wabaya wangu leo wakanywe majii
@Obe Anko anasema anapewa makopa pale pale ulipomwacha
....hayo makopa kayanunua kama wabunge wa upinzani, asikutishe.
Kama vipi na wewe nipe makopa ajue kabisa kuna maisha bila kuhonga. (Wallah tena, nikilipwa pesa yangu utapenda, wewe peke yako)
Mwambiee anko kuwa mm napewa makopaa huku
Apo sawa sasa tuliaa anko kaagiza karanga za kutosha na kung fu energy drink ukitoka chinaa kazi unayo
umeanza vizuri kbs ila huko mwisho umeharibu,kwani ss wapo wangapi, ?
.....lakini si ulisema wewe ni rafiki tumbona unakuwa na wasiwasi na unanichanganya!? Kama ni rafiki tu basi mimi na Mary tutazibangua tutakupa
Na usisahau nimepita kwa wale wamasai kuangalia kama wameleta shanga za kumwekamweka na ile dawa ya kusaidia kuchelewa kukojoa
Naenda China hivoo......yaani uko mmoja tu kama mama wa Jesus. Hapo mwisho ulimi uliteleza, oh sio ulimi ni kidole
Naenda China hivoo