Savage Dad
JF-Expert Member
- Jul 10, 2018
- 1,388
- 2,611
Aaaa unamwambia tu boss kubwa.Hahhaha kule wananifukuza mpaka mwenye story mwenyewe utasikia shunie ondoka na watu wako
Eiish nikualike tena mm mke wa mtu hivi naanzaje
Weeeh huyu wa kwangu mtu hamjui hawezi elewa nenda kale kwa sele bonge tuAaaa unamwambia tu boss kubwa.
Nakua mgeni kma wageni wengine. Half sie si unajua tumezoea ugeni nisipotembelewa au kumtembelea mtu hua sijiskii vzur.
Sele bonge ndio yupi huyo.Weeeh huyu wa kwangu mtu hamjui hawezi elewa nenda kale kwa sele bonge tu
Kumbe umejifichaaa huku nakutafutaa sikuoniiWeeeh huyu wa kwangu mtu hamjui hawezi elewa nenda kale kwa sele bonge tu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Leo katekwaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] me cjaanza kuisoma bado naivutia kasiKwenye uzi wa story ya darful mana wananifukuzaga mpaka mwenye story mwenyewe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hamtaki wageniWeeeh huyu wa kwangu mtu hamjui hawezi elewa nenda kale kwa sele bonge tu
Hawa wanakosa fungu la wageni hawajui wageni wasiojulkna wanakuja na fungu lao.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hamtaki wageni
In shunie's voice a.k.a shangazi![emoji41][emoji41][emoji41]Weekend huwa anatekwa huyo
Eiiish kumbe anapika birian kila ijumaa face book take away kinondoni we ni wapi jamaniSele bonge ndio yupi huyo.
Unajua mie sio wa dar nimekuja mara moja.
Nimekufata kule na we sikuoniKumbe umejifichaaa huku nakutafutaa sikuonii
Hahahhaha wenyewe wanakwambia tunajua story imeletwa kumbe mnajaza uzi kwa makelele yenu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] me cjaanza kuisoma bado naivutia kasi
Bora wawatimue maana mnajaza uzi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mwenye nyumba mgeni asiyemjua hataki[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hamtaki wageni
Wouzeeerr [emoji91][emoji91][emoji91]In shunie's voice![emoji41][emoji41][emoji41]
Shangazi namjua sana huyu yaani mida ambayo watu ndiyo wanasinzia ndiyo mida yake ya kuibuka!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mida ya popo huwa unakuaga nae