Hana cha kutekwa wala nini... we unafikiri Peruvian Hair mchezo!! Hoyaa
Wick, laki 4 ushatoa au nitoe mwenyewe na tusitishe kabisa mkataba wenu?! Mwenzako kaamua eti aanze kutafuta sixi paksi utadhani hizo sixi paksi zinaliwa! Jomba
Malcom Lumumba, 6 pcs worked better during JK era cuz' dadaz got lots of money making options lakini kwa huyu Msukuma, hizo 6 pcs peleka Colosseum zikasaidie kulinda akina Mo wetu!