Makapuku Forum

Alikuwa ananiitaga shangazi humu nikambarasa
Aisee shunie,,,hl neno la kiswahl ulilotumia hapa "kumbarasa"imebd ncheke mwenyew hapa

Kwamba ukambarasa,,,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hili neno limekaa kisharishari kwel

Yaan km vile mtu anakuchokoza hlf unakuwa unamtizama tu,,siku hasira zkpanda ukimkamata ndio inakuwa hyo kumbarasa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kaka ninge ungekuwepo alivyokuwa ananiita shangazi muulize tumosa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…