Opportunities ndio hizi vijna tuzichangamkieni.Kampuni ya IPP imetangaza kuanza ujenzi wa kiwanda cha kutengeneza simu (smartphone) zitakazokaa na chaji kwa wiki moja na pia zitafaa kuchajiwa kwa umeme wa jua.
Uwekezaji huo unakadiriwa kugharimu TZS 11bn, na uzalishaji utaanza ndani ya miezi 3 ijayo, ambapo utatoa ajira 2,000.
View attachment 916350
Wewe peke ndio ulikuwa haujui,,wenzio mbona tunafahamuSamahani Ndugu, Baba, Waume na Shemeji kwa sababu hili linawahusu nyote!!
Utafiti umebaini kuwa kinamama wanastahili kusubiri kwa MWAKA MMOJA baada ya kujifungua kabla ya kupata ujauzito mwingine ili kupunguza hatari ya kumpoteza mama na mtoto
.
Muda mfupi kati ya mimba moja hadi nyingine humuweka mama katika hatari ya kuzaa mtoto ambaye hajatimiza wakati wa kuzaliwa,mtoto mdogo au kifo chake.
Eheee kwa hivyo vuteni pumzi jamani USIMHARAKISHIE MAUTI MPENZI WAKO View attachment 916344
Mm nalifahamu jamani nimewapa taarifa tuWewe peke ndio ulikuwa haujui,,wenzio mbona tunafahamu
Shem wangu mmSOCIAL MEDIA
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] uko wetu umejaaliwa mapachaNi kweli jamani mapacha wenu wa kudownload mtu na dada yake
Zamu yko kulinda[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naona mmetekwa
Mwambie huyo dada angu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] uko wetu umejaaliwa mapacha
Kaswaaa[emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108]Mwambie huyo dada angu
Tumejaaliwa[emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] uko wetu umejaaliwa mapacha
Kweli mmejaaliwa wa kudownload tuMwambie huyo dada angu
Tumejaaliwa[emoji23][emoji23]