Makapuku Forum

Kwa upande wangu naona JF inaboa Sikh hizi! Hakuna mada za kuchangia wala stories za kuchangamsha. Hata we sikuoni kwenye mada kule.

Vipi lakini kilimo huko
Kagera sijaenda muda kidogo, nashinda sana Mbeya, Dar es salaam na Mtwara. Lakini hope ntawapeleka mabwana wadogo kusalimia wakisharudi, ndiyo ntajua mikakati inakaaje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…