[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] waambie nawapenda[emoji23] [emoji23]
Aiseeeee kaja kuona wapi watoto wa kudownload pm au whatsappMarhaba dada ake,,,u mzima ww???asante sana kwa kuja,,,anti zako wamefurahi
Kumbe hii avatar niliyoweka ya watu ana mgongo mzuri eenhWengi wanashindwa kuvaa nguo za wazi kutokana na muonekano wa ngozi zao za mgongoni kuwa mbaya zenye vipele, chunusi na kupauka.Madoa kwenye mgongo yamekuwa yakikosesha wengi raha kutokana na suala la utunzaji mgongo halitiliwi maanani kama ilivyo kwenye utunzaji wa uso au miguu.
Tumia brashi laini lenye sababu ya kutosha katika kusugua mgongo wako. Kisha paka mafuta.
AbeeehShunie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwakweli uraiani ukivaa vimini vyako kijana huyu hapaUzee wa JF tu. Uraiani ka kijana kabisaaaa
Kweli kabisaHela mama helaaaa kupendeza tunataka ila uchumi umebana balaa
Ameeen[emoji120] [emoji120] View attachment 914742
Morning shemGood morning everyone
Shikamoo dadaShikamoo ninge
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Binamu nikule tu yaani we nikule haya naomba laki 4 ya peruvian
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji85]Hivi mbona haujaniletea mrejesho
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sema akiWewe hizi shikamoo zako utafukuza watu humu ubaki mwenyewe
Sirudii jamaniKheee
Wewe watu wakiondoka utabaki mwenyewe
So far so goodMorning shem
Nyumbani[emoji23] [emoji23] [emoji23]Aiseeeee kaja kuona wapi watoto wa kudownload pm au whatsapp
Hbr yaki coleGood morning everyone
Safi kwema shunieAbeeeh
Habari yako