Hatujambo, hali Yako vipiMakapuku hamjambo
Ndiyo maana mimi huwa napenda binamu awe na chura!
Aliyekuteka alaaniweNimetekwa na mie!😀
Tumosa at shunie yuko api?
Niko hapa
Namsubiri huku maana nataka anifundishe kubet
Nyama ya hamu isiyoisha utamu!
Auntie zako wananisumbua huku,,,kila siku wananiuliza aunt anakuja ln
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ntakuja jumapili niwasalimie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watafurahi sana
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] waulize wanataka zawadi gani niwaletee[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unadhan hata wana mambo mengi,,mmoja hapa anataka popcon mwingine chocolate [emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa kumbe ntajtahid niwaletee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
ABJ twende tukawasalimu akina anti[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tena kama ABJ toka amewaona ni muda mrefu,,,wanamuuliza yule aunt anapenda kuja na ice cream yupo wapi [emoji23][emoji23][emoji23]
Ninge kumbe na wewe una watoto wa insta kama tumosa yaani watoto wa kuchorwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]ngoja nimshawishi nije nae kwa kweli
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] na binamu Obe awaletee korosho[emoji23] [emoji23] [emoji23]
...wanataka korosho kiasi gani? Nawaletea za bure hivyo wasiombe debe au kiroba kizima, waombe za kutafuta kutiana hamu tu sio za kushibisha tumbo
[emoji23][emoji23][emoji23]binamu wao huyo yupo vzr sana,,,kila weekend lazma awapitshie korosho
Makapuku vipi mmetajirika mbona hamuonekani?
Ameeeeeeen[emoji524]TUOMBE:Baba Mtakatifu Mungu wetu mwenye upendo mkuu Asante sana kutuamsha salama leo Jumamosi tarehe 27 Oktoba 2018 tukiwa wenye Afya njema .Wapo wengi walitamani kuiona leo Hawajaweza.. Tunawaombea wote waliopoteza ndugu,jamaa ,marafiki wenza wapate faraja kuu tunawaombea wajane,wagane yatima wapate tumaini na kukutegemea wewe tu Baba wa ya yatima.Tunaomba Amani itawale.Tunajikabidhi leo hii mikononi mwako kaa nasi Baba ongoza ratiba zetu zote uwe nasi katika Majonzi ,katika furaha,katika kazi hesabu hatua zetu tukutangulize katika kila jambo Mfalme wa Amani.Uwe Tumaini letu katika yote .Tujalie safari njema majini ,nchi kavu,angani tuende na kurudi salama..Tunaomba bariki kazi za mikono yetu tusaidie tupate yote ambayo umetujalia.Mungu wetu tunawaombea watoto na wajukuu zetu wawe salama popote walipo...Wasaidie watoto wetu wakujue na wakufuate wewe katika maisha wakutegemee katika kila jambo.Tunaomba Amani Mshikamano, kuvumiliana na Upendo wako utawale.Ponya wagonjwa na wote wanaopitia changamoto mbalimbali na watu wote wapate haja za mioyo sawasawa na mapenzi yako.Roho Mtakatifu kaa nasi .
Tunaomba yote katika jina la Yesu Kristo Amen.
JUMAMOSI NJEMA YA BARAKA DAMU TAKATIFU YA YESU KRISTO ITUFUNIKE[emoji257][emoji257][emoji257]