Wiki ijayo natangaza nafasi za ajira 50 za mabaunsa wa kuongozana nao
Wiki ijayo natangaza nafasi za ajira 50 za mabaunsa wa kuongozana nao
Hahahaha ,haya bibieHapana jamani
Namiliki apartments km 70 hapa bongo hivyo nawapa waishi bure tuUnawapangiaa apatimentiiiii wapi
Namiliki apartments km 70 hapa bongo hivyo nawapa waishi bure tu
Huku tuko kamili gado mzaziii, tunaendelea vizuri tu.Kwema mzee,,,mambo yalikuwa yamebana aisee,,,ila nimerudi kamili now
Vp mambo mengine huko
Hahahahaha hakuna mtu hapaAiseeee kukulana kulivyokuwa kutamu jamani
Huku kwema shemejiNzuri shemeji yangu mm za uko ulipo
Inapendeza mzee,,Huku tuko kamili gado mzaziii, tunaendelea vizuri tu.
Ni nani huyo mondrayKwnini ulibadir ID?
Hahahahaha hakuna mtu hapa
Huku kwema shemeji
Majambo yanaenda
Hahaha sijamaansha hvyo shunie[emoji23][emoji23][emoji85][emoji85] usiniambie ninge nimekua robot
Hahaha sijamaansha hvyo shunie
nilichangia nyuzi ya siasa nikapigwa banKwnini ulibadir ID?
Wee ankoo achaa unajua kunitelekezaaNipo anko, mzima lakini? Ulipokwama uliweza kutoka naamini.
Shikamoo kaka ynguMambo vp mkuu
Mku we ni naninilichangia nyuzi ya siasa nikapigwa ban