Unataka kupafahamu chimbo?
Hiyo rekodi haiwez vunjwa na mtu aisee,,kuna kitu najiuliza hapa ila bhasiHahahhahaha
hahaha hapana mkuu,nilitumia hiyo id kuonesha kuwa nishakuwa mtu mzimaNywele zitakuwa za kichwani hizo eenh
hahaha hapana mkuu,nilitumia hiyo id kuonesha kuwa nishakuwa mtu mzima
Hahaha bhasi tuishie hapo shunie,,kulifahamu hl chimbo sheria yake ya kwanza ndio hyo.Hahhaha natamani kupafahamu ila usiniambie tu ili nipafahamu lazima niwepo
Hiyo rekodi haiwez vunjwa na mtu aisee,,kuna kitu najiuliza hapa ila bhasi
dah nashukuru mremboBasi mkuu nikwambie kitu nimetokea Sana kuipenda I'd yako hilo jina tu mm hoi
Siku ile nimekutumia helikopta ikulete bunju ukapotezeaBasi mkuu nikwambie kitu nimetokea Sana kuipenda I'd yako hilo jina tu mm hoi
Hahaha bhasi tuishie hapo shunie,,kulifahamu hl chimbo sheria yake ya kwanza ndio hyo.
dah nashukuru mrembo
Siku ile nimekutumia helikopta ikulete bunju ukapotezea
Kukemea pepo la uzinzi na kutaja majina ya watu wako jamani niliishia hapo
Hahahahhahahahahahahah kwa hiyo list hukukumbukaaa ?
Anhaaa mzee niaje aiseee...Kwema bro?
hahaha poa mkuu sema hiyo ID Jamaa nahisi atakuwa kaumizwa ,sio bureJuwa tu kuna mdada anaitwa shunie anaipenda I'd yako sana nakufananisha na miminimkulimaakachekasana sijui Ni hivyo anaitwa
Kumbe hujui mimi ni Mo DewjiWe mzee nani alikuteka
hahaha poa mkuu sema hiyo ID Jamaa nahisi atakuwa kaumizwa ,sio bure
Kumbe hujui mimi ni Mo Dewji
Wanakuwa hawana hisia tena,,so hawafeel chochote japo maumivu lazma wasikieYaan kuna vitu unajiuliza hata majibu hayaji we ndani ya masaa 24 watu wote hao mtu mmoja tu papuchi inawaka moto jamani khaaaa watu na vipaji vyao kwakweli
Mm huwa najiuliza hawa wanaojiuza huwa hawasikii maumivu