Ndiwooooo
Anaweka katoni zima ,hizi si unaweza beba au?
Kule jukwaa la malalamiko nilikuta unaitwa baby nikakuquotePost ipi tena mpwa?
Hahaha hapo huwa napitaga tu mzee, wala sijawahi kuingia.Hahahaha, safi sana ,walau wewe umepajua huko bucket ,mie ndio nasikia kwako ,ushamba mzigo acha ni ubebe ,nikipata wakunipeleka ,inshalaah nitaenda kushangaa
HaahhahhahaaHahahaha, safi sana ,walau wewe umepajua huko bucket ,mie ndio nasikia kwako ,ushamba mzigo acha ni ubebe ,nikipata wakunipeleka ,inshalaah nitaenda kushangaa
Hata sijaangalia mpwa, kwani wamefuta ?Kule jukwaa la malalamiko nilikuta unaitwa baby nikakuquote
Hahaha nimeona.
Hahaha nimeona.
Hata sijui kwanini wamefuta.
Mimi tenaaa ?Kumbe anko na wewe una mbebez jamani
Kwanza ni wapi huko ,tuelekezane,nami nipitageHahaha hapo huwa napitaga tu mzee, wala sijawahi kuingia.
Usinicheke RafikiHaahhahhahaa
Pale Masaki karibu na Kilima NyegeKwanza ni wapi huko ,tuelekezane,nami nipitage Usinicheke Rafiki
Oooh huko kwa wazungu Mkuu ,acha tu nicheze na Shayo na Mkewe Mama Manka ,hapa kwa mangi kuna hadi kidaftaliPale Masaki karibu na Kilima Nyege
Mimi tenaaa ?
Mnanioneaa....
Kwanza ni wapi huko ,tuelekezane,nami nipitage Usinicheke Rafiki
Pale Masaki karibu na Kilima Nyege
Oooh huko kwa wazungu Mkuu ,acha tu nicheze na Shayo na Mkewe Mama Manka ,hapa kwa mangi kuna hadi kidaftali
Kwann Rafiki, mnielekeze jamaniHaahhahah nacheka unavyojibu tu
Sasa huko mie Mzee washamba si nitatia aibu Rafiki ,na hao wa mjini tutaendana kweli ?Mm jamani pamenishinda pale sijui ndio ushamba wangu fujooo wakaka wa mjini na wadada ya mjini yaani vuruguuuu
Oooh huko kwa wazungu Mkuu ,acha tu nicheze na Shayo na Mkewe Mama Manka ,hapa kwa mangi kuna hadi kidaftali