Makapuku Forum

Ndiwooo
Kila akiingia akitoka abj kaondoka bila kuniachia no ya simu

...kulikuwa kuna mtu ananiloga nisipewe namba ya simu, sasa nimepewa namba nimerogwa tena imekuwa namba ya mganga toka naijeria na anaongea kiswahili utasema mkwere au mluguru. Anko wangu jamani mimi sijui nimemkoseaga nini jamani. Anayejua aje aniambie, zawadi nono nitatoa na wala hutahangaika na ile bilioni moja iliyotangazwa
 
Kwahiyo no uliyopewa ya mganga wa kienyeji
 
.
 

Attachments

  • Screenshot_20181015-225255.jpeg
    115.9 KB · Views: 19
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…