Makapuku Forum

Mimi au wewe ndo ulifungishwa
 
Reactions: Obe
Heh, imekuwa akili zangu tena anko, me nilijua ni akili za ukoo, nimerithi upande wa mama ambaye ni dada yako kabisa
Anko pokea salam kutoka tuinuane gest and bar
 
Reactions: Obe
Lakin somo tulifundishwaa wotee
 
Reactions: Obe
...kweli ni spesho, wewe sio wa kunipa namba ya dawati la jinsia kwamba nimetelekeza mtoto au nimefanya domestic violence. Kweli wewe ni wa kunifanyia hivi, tena jumapili
jaman jaman mimi huyuhuyu nikupe namba za dawati la jinsia aisee basi umekosea mwenyewe kuandika
 
...kweli ni spesho, wewe sio wa kunipa namba ya dawati la jinsia kwamba nimetelekeza mtoto au nimefanya domestic violence. Kweli wewe ni wa kunifanyia hivi, tena jumapili
Umepigiwa na umepewa siku 2 ufikee acha kumsingiziaa kipenda rohoo ...nilikwambia mapema hizi ziara zako za fiesta mwaka jana zitaletaa matundaaa ...
 
Kiungo wa kati wa Chelsea na timu ya taifa ya Ubelgiji Eden Hazard, 27, anasema katu hatalazimisha uhamisho wake kwenda Real Madrid. (Telefoot, via Sun)
 
Mlinzi wa Bournemouth ambaye pia anaechezea timu ya taifa ya Uholanzi Nathan Ake, 23, amepuuzilia mbali tetesi kuwa yuko tayari kujiunga na klabu ya Manchester United. (Football Oranje, via Metro)
 
Manchester United yenyewe kwa sasa inajiandaa kumpatia kandarasi mpya kipa wake David de Gea,27, ambayo itamfanya kuwa mchezaji anayelipwa fedha nyingi katika klabu hiyo. (Calciomercato)
 
Kipa wa England Tom Heaton, 32, anasema huenda akalazimika kuondoka Burnley kwenye dirisha dogo la usajili mwezi Januari. (Mirror)
 
Mshambulliaji wa Roma na Bosnia-Herzegovina Edin Dzeko amesema yuko huru kurejea ligi kuu ya England lakini amekiri kuwa huenda "amechelewa sana".
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…