Uko vizuri bosi wangu kutuhabarisha.
Wanaturudisha zama za machukizo hawa.
Mwanaume hawezi thubutu kijifananisha imekatazwa.
Huyo ni ibilisi na mipango yake ya myaka mia ijayo kwa kizazi chetu
Hiyo mistali 2 ya chini ndo lengo amini tu.Yaan sijui wamefikilia nini
Nipo karibu nawe mkuuUsijali boss karibu
Nipo karibu nawe mkuu
Shikamoo mangaMwanaume ukose vya kuhamasisha ndo ujifananishe?
Zambi sana
Mahbaa Tumosa upo?Shikamoo manga
Nilikumiss mm
Npo ulijichimbia wapo lakini?Mahbaa Tumosa upo?
[emoji8] mii zaidi
Humu humu tunapishana tuNpo ulijichimbia wapo lakini?
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Humu humu tunapishana tu
Iko powaHabari za usiku wanajavi weekend imeazaje?