Hahaha mama mishikaki kwenye ubora wakodingimtoto niletee mishikaki mie
Nasubiri mishikaki hapa nile na ugali[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaha mama mishikaki kwenye ubora wako
Wewe tanguu lini vyuma vikakazaa
mmhhh!!..
Ukiwa unatoka dsm kabla hujaifika round about kuna hotel ipo kushoto wana kuku classic sana wale jamaa!..
wewe tena sikusahau
shkamoo!!
Acha uwake moto[emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]
Hapana alafu hii wiki hatutakuwa wote nakula maharage huku nilipo na kuku wa kienyejiiNdio vimeanza kukaza sasa vinakaza ile yenyewe
Hapana alafu hii wiki hatutakuwa wote nakula maharage huku nilipo na kuku wa kienyejii
Au utaniambie nishuke naye ubungo [emoji4] [emoji4] [emoji4]He he umenitajia kuku wa kienyeji nimekumbuka mbali
Usijali mwenyewe nipo kwenye mfungo na maombi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimecheka kwa sauti daah nimekumbuka mbali niletee na samaki na maharage mabichi msalimie kaka akooAu utaniambie nishuke naye ubungo [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Hahahahahah ebhu nikuacheee kwanza ntamwambiaa akutumiee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimecheka kwa sauti daah nimekumbuka mbali niletee na samaki na maharage mabichi msalimie kaka akoo
Hahahahahah ebhu nikuacheee kwanza ntamwambiaa akutumiee
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Hahhahaha anaanzaje kunitumia yy na ww umeniambia utaniletea nimeongezea vitu vyangu vingine mwambie aninunulie akupe uniletee uhawala haufagi mwambie hata ipite miaka mingi
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Ameoaa kitu cha sudan utamwambia nnHahahahh
We cheka tu
Ameoaa kitu cha sudan utamwambia nn
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Mpe hongera zake sana jamani kuoa ni jambo jema