Nilitekwaa lakini nyumbani nilikuwa nakusubiriaa unuse pua nizibabuee au ndo wewe ulikuwa unamleta dada akidaii ni uber make na hawa uber wametuleteaa kasheshe ...yaaan mke analetwa na mchepuko ukiuliza anakwambia uberNipo shemeji mnoko!.. Sikukuona siku kadhaa humu nikajua tayari umedakwa sehemu nijinafasi freely.
Haya nimekuja...Nmekuona mahali unatoa ushauri ndo maana nikakuita[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimemmis huyu mtu yuko wapi
Poa za ww
Najua ww na mabwana wa mtandaoni tofauti kabisa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yupo anadunda kama kawaida..ila hayupo jf for nowNimemmis huyu mtu yuko wapi
Nimemmis huyu mtu yuko wapi
Ukimanishaa ameliwa na mhindi
Hahahahahahah mnawazaaa kupiga vibumuuu tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]exactly my dear,huyo bwana wa mtandaon ukimuomba ya vocha fasta unajikuta ushaanzishiwa uzi. Bora wa laivu laiv hana pa kulalamika
Hahaahahahahah kumbe mzee wa wa liverHapana ila nenda jukwaa la sports uzi wa liver utajua tu
Hahahahahahah mnawazaaa kupiga vibumuuu tu