Makapuku Forum

Nasikia na nguvu za kiume eti kwenye juice ya tende

Cc Lyon Lee
 
Aiseeee
Kumbe shisha ndio ina madhara hivyo
Poleni watumiaji
 
Eeenh
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
 

...duh, nimejaribu kuandika namba 6 nimeshindwa, nahitaji mazoezi mengine, wikend labda nikiwa kwenye khali isiyo sawa
 

...hapa namba tano ndo napopapenda sana, ikianza Ramadhan napumzika, ni mwendo wa kudoea tende tu masjid sikujua huwa nafanya utaratibu mzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…