Mdomo bakuli
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 3,442
- 7,020
To be honest Numbi ulipaswa kuwa host wa kile kipindi cha mahusianoTabia Za watu Waliofanikiwa Katika Mahusiano
1.Wako pamoja kwa sababu sahihi
2.Wana matarajio ya kweli kuhusu mahusiano yao ya kimapenzi
3.Kitu cha muhimu kwao sio mawasiliano bali ni Heshima kwa kila mmoja
4.Wako wazi, huongea kila kitu wazi , hasa yale mambo yanayowaumiza.
5.Mahusiano yenye afya yana husisha watu wawili wenye afya.
6.Hupeana nafasi
7.Wewe na mwenza wako mnakua na kubadilika kwa njia zisizotarajiwa. kumbatia hilo
8.Mnapita katika mazuri na mapigano.
9.Mnapita katika mazuri na magumu lakini mnasameheana.
10.Vitu vidogo vinaongeza vitu vikubwa.
11. Sex matters…a lot.
12.Hutengeneza kanuni za kwao za mahusiano
13.Hujifunza kuyapiga mawimbi .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mfyuuuuuuu
Shunieeeeeee!!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mfyuuuuuuu
To be honest Numbi ulipaswa kuwa host wa kile kipindi cha mahusiano
Huwezi tambua kama una talent mpaka watu wa nje watambue kipaji chako NumbieHamna mkuu kipaji cha mtu hicho namsaidia tu kuleta huku JF
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]acha wivu. Jioni muruaaa
Shunieeeeeee!!!!
Huwezi tambua kama una talent mpaka watu wa nje watambue kipaji chako Numbie
Hahaahha
Yaani umeipokea shikamoo vizuri kabisa ni kiasi gani unaipenda
Halafu mambo ya jf mara aliyekuamkia ni babu kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sijambo nduguMweeeh haya ngoja niendelee kugonjeka slim vipi lakini uko poa