Hivi ulikua umeshavunja vyungu kipindi kile Nokia wana kaapplication kale ukituma sms za instant messaging ukiisoma tu ukabonyeza back ndo kwisha ushaifuta txt kwa simu!?..
Pombe za ugomvi hizo kuongesha ulivyo na aibu ukiwa sober 🙂..
Za hapaHongera mkushi karibu tupo
NjemaZa hapa
KhaaMfyuuuuu
Nilikuwa ya kawaida tu....marhaba sana kaka, salamu za namna hii jtatu huwa zinanifanya nifikirie maamuzi yangu ya kufuga kitambi na nywele zenye mvi.
Vipi ulikuwa na wikend nzuri wewe, au ndo kama wikend za anko wangu Lyon Lee za kuchanganya, kuchanganyika na kuchangamkiwa
Nilikuwa ya kawaida tu.
Wala haikunichanganya
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Khaa