6 Kutoa Hewa chafu kwa sauti (Farting Loud). Hii hairuhusiwi kwenye jamii yetu!
7.Kutoa Haja ndogo wakati wa kuoga
8 Kufanya baadhi ya vitu kwa kutumia miguu badala ya mikono! Kufunga mlango au Kuokota vitu kwa kutumia vidole vya mguuni
9. Kula paketi nzima ya chakula Fulani ambayo pengine ungekula kwa siku kadhaa taratibu
6. Betri za rimoti yako zimekwisha unaamua kuminya batani za rimoti kwa nguvu zaidi ukihisi itasaidia!
7.Unaambiwa kitu Fulani ni cha moto, unaamua kugusa na unaungua kweli!
8. Unajikwaa au kujigonga sehemu na unaanza kutukana ukihisi sehemu hiyo inakusikia
9 Kujiangalia kwenye kioo cha jengo na kusahau kuwa kuna watu ndani ya jengo na wanakuagalia
10. Unabisha kwamba hujalala (huko usingizini) na unasikia kila kinachoongelewa, kumbe kila mtu ameshakushtukia!
Eheeeh...HATUA KUMI ZA KUFUATA (Pamoja Na Picha) UNAPOFUNGUA CHUPA YA SHAMPENI (Champagne)
1.Kabla Ya Kuanza Kufungua, Hakikisha Chupa Yenye Shampeni Imehifadhiwa Kwenye Ubaridi Kwa Muda Fulani Kwani Kinywaji Hiki Ni Bora Zaidi Kikinywewa Kikiwa Baridi. Unaweza Usiweke Kwenye Baridi Kama Tu Unataka Shampeni Iruke Sana Na Kusambaa Kila Mahali.View attachment 880419
Simtaki tenaJamani si ulikuwa unamtaka
ShikamoooEheeeh...
10.Hongera, Umeshajua Kufungua Shampeni. Nyanyua Chupa Juu, Na Kuanza Kugawa Kwa Watu.View attachment 880433