...tena wengine huwa wanaweka hadi na chumvi kuongeza ladha? acha tu mazoea ni addiction ya aina yake. mmoja alikuwa anakula kucha hadi akapata maguugu (ukoma)
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Aiseeee kwahiyo anazipostigi na mnazisave mpaka niombe wanitumie
Jamani ni wereva yangu au mbona imegoma kufunguka binamu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ushahidi muhimu kutunza kumbukumbu nzuri sana
Naishabikikia kindaki ndaki kama man u yaan nakosa raha zikifungwa
Hata kwa wereva yangu imegoma
Huko nshatoka saiv hata zikifungwa (man u,R. Madrid)wala siumiii
Daah
Mungu anisaidie jamani na mm niweze kutoka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Daah
Mungu anisaidie jamani na mm niweze kutoka
Daah
Mungu anisaidie jamani na mm niweze kutoka
Basi nilijua tecno yangu ina shida basi tatizo litakuwa kwenye simu mpya ya binamu
Tatizo nimepunguza mzigo mmoja nimejibebesha mwingine mbaya(kula ubuyu na kubishana celebrity forum)dah majanga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] abj kamkimbia hiyo akupe tu hata ya gari kila siku wimbo wa no...yupo katekwa na penzi jipya, kwani ABJ yuko wapi jameni au ndo anaitafutia namba ya kunipa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
DahIla utaweza kama utajitoa magrup ya mpira watsup,fb na kusitisha kuingia jukwaa la sports siku ya mechi,kuangalia live mpira husika. Kufatilia magazeti ya michezo
Shunie nambiie miss[emoji85][emoji85][emoji85]
Shunie nambiie miss