Kwemaaa.Shwari kabisa,za usiku huu
Amina..Itakua maana hadi muda huu nipo hai salama salmini
Unatukumbusha ibra wetu[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]KWELI MKUU NDIYO MAANA LEO NIMEKUJA KUWACHEKI
MADOGO NILIOWAACHA PRE-FORM 1 WAKO CHUO
Shikamoo T
Vo bibieShwari kabisa,za usiku huu
POLE SANA MKUUUnatukumbusha ibra wetu[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Nko poa hbr ya kaziMarahaba T
Hujambo?
PoleeNzuri tuu..
Ndio natoka kazini sasa hivi..
Warembo mpoHabari wana JF
Habari Makapuku wenzangu
Matumaini yangu wote mko poa kabisa.
Uzi huu ni kwaajili ya makapuku wote. Lengo ni kujadili changamoto zinazotukabili, pia Kupeana support katika mambo yetu hapa JF. Tupeane mbinu za kukabiliana na mambo yote humu.
Makapuku natumaini nyote tutashirikiana katika jambo hapa JF. Bila kumsahau founder wa makapuku Bitoz shukrani kwake
Karibu sana makapuku katika mjadala. Wengine nitawaongeza hapo baadae.
Karibu sana
Bitoz
JF Makapuku Founder
Jimena
JF Makapuku assistant Founder
Th Name JF Makapuku assistant Founder
Amen! Ubarikiwe mama[emoji524]TUOMBE:Baba yetu na Mungu wetu asante kwa ajili ya siku ya leo Jumanne tarehe 25 Septemba 2018 Tunaomba toba kwa kika tulichoenda kinyume na mapenzi yako uturehemu twakusihi.Tusaidie tuweze kutambua namna unavyo tupenda na kutupigania katika kila jambo.Tunakabidhi kazi zetu,watoto wetu,wajukuu wetu,familia zetu,rafiki zetu mikononi mwako endelea kuonekana kwetu Mfalme wa Amani.Tunaomba ponya wagonjwa wote,ponya majeraha yote watie nguvu wanaouguza na waongeze kila panapopungua wasipungukiwe katika kutoa huduma,wafariji wafiwa yatima wajane na wagane endelea kuwapa tumaini.
Baba wasafirishe salama wasafiri wote waende na kurudi salama Angani,nchi kavu,majini damu Takatifu ya Yesu Kristo iwafunike.Bariki kazi zamikono yetu zizae matunda mema na tuendelee kukutolea kwa moyo wa upendo na furaha.
Asante Baba maana utaendelea kutuongoza na kutupigania tunaomba Roho Mtakatifu awe nasi sote na tukinge na ajali zote za mwili na roho Tunaomba yote katika jina la Yesu Kristo Amen
JUMANNE NJEMA DAMU TAKATIFU YA YESU KRISTO ITUFUNIKE[emoji257][emoji257][emoji257]
Ameni,tibarikiwe soteAmen! Ubarikiwe mama