Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,061
Nasema "Muombe Mungu akuepushie uchovu.."[emoji23][emoji23][emoji23]Who?
Nasema "Muombe Mungu akuepushie uchovu.."[emoji23][emoji23][emoji23]Who?
Kwani yuko hapa?Mtake radhi baba wawili wangu
Huwa anachungulia humu mbona,mtake radhi ataikuta siku akipita[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwani yuko hapa?
Wewe sema tuu kama kuna kupichafu ukuta leo? [emoji16]
Mimi huyu? Nipo sana mkuu sema tu tunapishana pishana. JF ni bahari...napenda sana the way unaishi humu jamvini yani upo lakini huonekani
habari za siku nyingi?
Tuendelee...Huwa anachungulia humu mbona,mtake radhi ataikuta siku akipita[emoji23] [emoji23] [emoji23]
KakaMimi huyu? Nipo sana mkuu sema tu tunapishana pishana. JF ni bahari...
Natumaini hujambo pia. TUMSHUKURU MUNGU [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Nipo bro tena poa kabisa. Nakuona unajaribu kumuwashia injini Tumosa. Bahati mbaya amekuwa ngangari [emoji16][emoji16][emoji16]Kaka
Salamu zakoo [emoji870][emoji870]
MfyuuuuuuuTuendelee...
Hivi ulisema unapenda staili gani ya alaji..
Alajiii x 2
Alaajiii x 2
Alaajii x 2...
Nakuona unakwepa mishale...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji85] [emoji85] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mfuuyuuu... mwenyeweMfyuuuuuuu
MarhabaaaaaShikamoni wakubwa
Mungu anamuona TNakuona unakwepa mishale...[emoji16][emoji16][emoji16]
Na ww mfyuuuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mfuuyuuu... mwenyewe
Ila watu wa mbeya bhanaa! Mambo ya kutenda dhambi mmesimama kama mkuki mnapenda sana [emoji23][emoji23]