Makapuku Forum

Labda Wick atuelezee mi npo kitulo huku

sayansi ilinyoosha mikono mbele ya huu ukoo!.. Ukiangalia picha hii unaona nguzo zimehama upande then mbele zinarudi upande wake kuendeleza safari😀

Ila kuna vijana naona walilihamisha kwa 1.5M.. Kila mbabe na mbabe wake!

NB:
Kituko kingine kipo Dom, ukiwa unaelekea Mipango ukifika pale Wajenzi kuna njia flani kushoto ya vumbi ukienda nayo mbele unakuta imeidivert nyumba ya tope(nyumba ya tope ipo katikati ya barabara).
Nilisikia mmiliki kikongwe flani hakutaka hamishwa ili ipite barabara wakatumia nguvu, matokeo yake nyumba haitoki na ujenzi ukasimama!.. ndio ile njia ya vumbi ambayo ukinyooka nayo unakutana na lami kuelekea chang'ombe!. (wajuzi watakuja).
 
Hao vijana walivyohamisha hawajapata madhara yoyote

Hiyo story ya dodoma natamani ungeendelea zaidi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…