Sifa na utukufu kwa atoae pumzi
Jumamosi tulivu yenye maombolezo
Rest in peace kwa wote waliopoteza maisha ndani ya MV Nyerere
Asiyesikia la mkuu huvunjika guu
Mbunge na DC walipiga sana kelele kwa kile kivuko lakini ziliishia kutolewa ahadi tu bila utekelezaji