Mweee1.Ukimpata Handsome, Kichwa Chake Ni Empty.
.
2. Ukimpata Genius, Yuko Serious Masaa 24 Na Wengi Huwa Hawako Romantic, Hawajipendi Kihiivyo, Wako Rafu Mno.
.
3. Ukimpata Tajiri, Mara Nyingi Hawezi Kukuheshimu Full Madharau, Utamwambia Nini Wakati Hela Anayo Bhana.
.
4. Ukimpata Mfanyakazi Hodari Na Mtafutaji, Hana Muda Wa Kuwa Na Wewe, Muda Wote Anawaza Kazi Na Kutafuta Maisha.
.
5. Ukimpata Mnyenyekevu, Mfukoni Huwa 0%.
.
6. Ukimpata Anayekupenda Kwa Dhati, Anakuwa Siyo Type Yako, Hana Pozi Zile Unazitaka Wewe.
.
7. Ukimpata Msomi, Hasikilizi Ushauri Wako, Anakuona Boya tu.
.
8. Ukimpata Yule Smart, Ni Muongo To The Maximum Na Player.
.
So listen to your heart...[emoji173][emoji173] na shukuruni kwa kila jambo, toka anguko la Adam hakuna mtu perfect, hata wewe hauko perfect.
.
Kwa nini kulilia watu perfect wakati wewe mwenyewe hauko perfect?? Cc Wick ukuje ujisomeView attachment 866765
Hehehhe penzi jipya huwa na mbwembwe nyingi ila sisi wabongo waigazaji kweli hasa humuSioni mibebisho mana nikikumbuka mikwara niliyopigwa kipindi kile
So umeisoma eeehHalafu ile story niliyokwambia nimeenda kuiangalia vizuri kumbe ya kina mathew
Pole ntajitahidi kuandika ndefuKila nikijaribu kulifikiria naona kapa ikabidi nigesi tu maana meseji fupi huwa na aleji nazo
So umeisoma eeeh
Pole ntajitahidi kuandika ndefu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Yaani upo kama mm yaan huwa hata kusoma siwezi halafu mtu akiandika kiufupi namuona mtoto wangu kabisa
Kumbe sawaEenh
Hehehhe penzi jipya huwa na mbwembwe nyingi ila sisi wabongo waigazaji kweli hasa humu
Haya ntaacha mkuuSio ujitahidi uache mwenyewe sipendi
Itapendeza sana sisi wengine wazeePole ntajitahidi kuandika ndefu
Kwann yamepgwa marufuku?
Kuna kitu umeandika hapa kina point yako msingi sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nacheka mm pole kwa yaliyokukuta ulikosea tu labda kama mlionana mapenzi ya humu kubebishana yaani msijuane au kuonana ndio inakuwa utamu
Kama ni mchanganyiko wa hizo namba mama!?..1.Ukimpata Handsome, Kichwa Chake Ni Empty.
.
2. Ukimpata Genius, Yuko Serious Masaa 24 Na Wengi Huwa Hawako Romantic, Hawajipendi Kihiivyo, Wako Rafu Mno.
.
3. Ukimpata Tajiri, Mara Nyingi Hawezi Kukuheshimu Full Madharau, Utamwambia Nini Wakati Hela Anayo Bhana.
.
4. Ukimpata Mfanyakazi Hodari Na Mtafutaji, Hana Muda Wa Kuwa Na Wewe, Muda Wote Anawaza Kazi Na Kutafuta Maisha.
.
5. Ukimpata Mnyenyekevu, Mfukoni Huwa 0%.
.
6. Ukimpata Anayekupenda Kwa Dhati, Anakuwa Siyo Type Yako, Hana Pozi Zile Unazitaka Wewe.
.
7. Ukimpata Msomi, Hasikilizi Ushauri Wako, Anakuona Boya tu.
.
8. Ukimpata Yule Smart, Ni Muongo To The Maximum Na Player.
.
So listen to your heart...[emoji173][emoji173] na shukuruni kwa kila jambo, toka anguko la Adam hakuna mtu perfect, hata wewe hauko perfect.
.
Kwa nini kulilia watu perfect wakati wewe mwenyewe hauko perfect?? Cc Wick ukuje ujisomeView attachment 866765
Kweli nakwambia ukitaka kuharibu tu kubebishana na mtu mruhusu akujue au mjuane mtakuwa mnapishana kama kaka na dada hii nimeshaichunguza sana mm raha ya kubebishana msijuane hata pm huko msichat uongo baby daddy WickKuna kitu umeandika hapa kina point yako msingi sana
Kama ni mchanganyiko wa hizo namba mama!?..