Nakutaniaa wife
Weee niachwe na ABJ niwe mgeni w nani kwa taarifa kwa mambo yale ya kuhesabishana shanga huyu ndo fundi ..mauno anayakata mpaka cheus mangala wako haingii ndan (ulinisimuliaa kuhusu cheusi) ......ushaingizwa kingi tayari, mjomba wangu wewe vitu vya asili huwa hupendi kuvipoteza kabisa yaani hata ukiwa nao kama mswati vile
Anko binamu mbona unaletaa fyokofyokooo mda huu au kisa jana cheusi wako asha alikutwa na jamaa wako wa mtaa wa pili
Mzee mwenzangu ungeniwekea bond tuu!!...acha tu anko, haya maisha kama yangekuwa yanauzwa ningemuuzia hata makaveli10 anipe hela.
Nimechiwa kwa kuachika anko, hii dunia kumbe kubwa sana aisee.
Ujue wewe ni mtaalamu wa kupata ukikosa baharini hata kwenye tope unamvua kambale
Mie nakimbilia polisi tu, nabutua nje isiwe tabu....huyu keshatosheka, hiyo pasi ya mwisho anaweza kukurudishia ukakabwa tena basi lawama zote unabebeshwa wewe
Mzenji wa zaman sana alafu mm nimeamuaa kutuliaa kama hujui...mimi alipofumaniwa nilifurahi sana, maana ni kama mchezaji unamtoa kwa mkopo. Alienda kupata ujuzi na kuuleta nyumbani.
Me sio wewe, ulimfumania yule mzenji mara 7 tu ukaamua kumuacha.
Yuko wapi huyu mtuu wajameni..Husna umemfukuzaa kapuku ?
Husna umemfukuzaa kapuku ?
Kasharogwaa na ankoYuko wapi huyu mtuu wajameni..
muda upo binamu wewe tuu
Kama mm yaliyonikumbaa wengine wanachoka na tabia zako wnasepa mazima...sijamfukuza bhana, alipata bwana mwingine mi nikadhani kaenda kwa mkopo kumbe alisaini mkopo wa moja kwa moja. huwa anarudirudi kukumbushia tulipoachia.
Niko na BH tuko beach
Weee niachwe na ABJ niwe mgeni w nani kwa taarifa kwa mambo yale ya kuhesabishana shanga huyu ndo fundi ..mauno anayakata mpaka cheus mangala wako haingii ndan (ulinisimuliaa kuhusu cheusi) ...
Uzur nshampa taarifa zako ...alafu mbona siku hiz unaninyim simu yako ?...sasa haya ndo maneno mazuri sasa nayopenda kusikia. Ujue nini binamu, yaani mimi nina kila kitu ambacho ninapenda kuwa nacho isipokuwa kitu kimoja tu, yaani nikikipata hicho nahamisha msikiti nahamisha kanisa namwita Mikwara Ya Andunje alete helikopita yake ajenge hekalu
Kama mm yaliyonikumbaa wengine wanachoka na tabia zako wnasepa mazima
Kuna mirogo ya aina mbili, kampa mrogo gani!?Kasharogwaa na anko
Uzur nshampa taarifa zako ...alafu mbona siku hiz unaninyim simu yako ?
Nakutaniaa binamu...aisee, sasa kwenye hii point ndo inabidi niongee naye sasa, kizuri kula na ndugu yako bibi alituasa, kibaya sumu kula mwenyewe tupate msiba tule rambirambi.
Nae yuko wapi!?...sijamfukuza bhana, alipata bwana mwingine mi nikadhani kaenda kwa mkopo kumbe alisaini mkopo wa moja kwa moja. huwa anarudirudi kukumbushia tulipoachia.
Niko na BH tuko beach