Makapuku Forum

The Hills Have Eyes"

Ni Filamu Inayohusu Tukio Ambalo Limewahi Kutokea Ukweli.
-
Kwa Takribani Miaka 25 Kuna Ukoo Uliotambulika Kwa Jina La "Bean" Ulikua Ukifanya Mauji Kwa Kuweka Mitego, Kuvamia Na Kisha Kuwala Watu Hao.
-
Walikua wakifanya Matukio Hayo Usiku, Na Kisha Kurudi Katika Mapango Yao Ambayo Ndiyo Yalikua Makazi Yao.
-
Walikuja Kukamatwa Hasa Baada Ya Kutaka Kumuua Kijana Mmoja Ambae Alikua Ni Balaa Katika Mapigano Ya Kutumia Silaha Za Vitu Vikali Kama Visu Na Mapanga.
-
Hivyo Badala Ya Kumgeuza Dogo Nyama, Wao Ndio Walijikuta Wakigeuzwa Nyama.
-
Walipoona Hali Sio Tena, Walianza Kukimbia Na kutaka Kupotea Kabisa Eneo Hilo, Lakini Walikuwa Wamechelewa Sababu Wanajeshi Walikua Wameshafika.
-
Walikamatwa Na Kuhukumia Kunyongwa Baadae.
 
dah ile ya wanajeshi ya kijinga sana!.. Utadhani migambo bana!..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…