Hivi nan kasema nawezaa kukulaa wewe
We bwana acha kufukua makaburi utamkuta shululu wako anatongoza uko mbele
Marhabaaaa jambo mdogo wnguanajua mwenyewe yupo hot hot
Nilikumis lakini shkamoo
Na ww tunakujua cha ugimbi sisi ni kama ndugu humu coz muda mwingi tuko wote jukwaani hapaOK OK OK, ndio nimejua sasa kumbe mnajuana hata nje ya hapa , basi sasa najua vzr
Mm nikukuleee weweeee simu ilihakiwaaaaaa alafu nyie hackers msinichonganisheee na shem lakeeeSi wewe na abj
umempa nn mbebez wako leo
Ama unajiteteaYes tunajuana vizuri tu na hawezi kunikula mm
Yes tunajuana vizuri tu na hawezi kunikula mm
Mm nikukuleee weweeee simu ilihakiwaaaaaa alafu nyie hackers msinichonganisheee na shem lakeee
Ama unajitetea
....sure, labda itokee bahati mbaya
Asantee kwa music naipenda sana hii nyimbo ankooMuziki: Furahiday, Come Over
Unaenda kwa kwa aunt yangu Shunie ambaye amekuwa na wakati mzuri mchana wa leo na nimefurahia post alizoweka za Je Wajua. Ila sasa mida ya jioni anko wangu Lyon Lee akiwa keshapiga tatu nne gia ya kupasua milima anataka kumkasirisha kwa story za kukojoleana.
Asante ABJ chombo kipya cha anko wangu, Tumosa nimekukumbuka binamu endelea kukazana sana wikend hii, mtu chake kula monde mzee mzima. makaveli10 soka la ufukweni kesho nitapita mitaa yenu na chama langu la jogging vijana wa uwanja wa Shababi.
Come over wadau wote wa ukweli wa jukwaa hili, Transcend , Da'Vinci na wewe unayenisoma sasa
HiMuziki: Furahiday, Come Over

MarhabaaShikamoo
Hahaha, kuna watu wana hadi namba za simu ( soma juu huko utaona)Na ww tunakujua cha ugimbi sisi ni kama ndugu humu coz muda mwingi tuko wote jukwaani hapa