Makapuku Forum

Mchawi tulishamchinja kitambo mbona

................
 
Mkuu mbona mshana wala haongozi kwa likes?? Au we unatumia hesabu za mwaka gani? Makapuku ndio habari ya mjini kwa sasa
 
Ni kweli kabisa.
 
Taratibu
Mwenzio kakariri ile thread
Kauka

...........
Pengine hatujaelewana ila namaanisha Nje ya makapuku kuna mtu anamzid mshana likes!? Hata kama yupo ni kidogo. Wala simaanishi statistics za mwaka wa jf uliopita, pole.
NB: Makapuku hawashindani wao kwa wo ndo maana nimeona haina wokovu kulinganisha ratio za kapuku kwa kapuku thats't.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…