Makapuku Forum

Kocha wa timu ya taifa ya Brazil, Tite, leo amemthibitisha Neymar Jr kuwa nahodha wa kudumu wa timu hiyo ya taifa.

Mbebe wangu Neymar hongera



 
Maisha yangu kwa sasa yapo Manchester . Bado nina mkataba. Kwa sasa nacheza pale , lakini nani anayejua nini kitatokea katika miezi kadhaa ijayo."
.
Pogba amesisitiza kwamba yeye na Mourinho wana mahusiano ya kikazi kamilifu.
.
. " Tuna mahusiano halisi ya kocha -mchezaji , hiyo ni sahihi. Kitu kimoja ambacho naweza kukuhakikishia , mara zote nitakuwa najitoa kwa asilimia 100, haijalishi ni kocha gani, mara zote nitajitoa kwa kila kitu ndani ya Man United. Siwezi kusema zaidi."
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…