Makapuku naombeni msaada natafuta helikopta nzuri inayoweza kuruka umbali mrefu
Pia isiyo na kelele kama hii ya sasa.......ukinisaidia kuipata unalamba Milioni 1 fasta
,,,nimeshamjibu, ajiangalie sana wiki bado mbichi kabisa hii asikuharibie, kwani kakuona umvaa gagulo, nyanyapensi, chupi ya resiresi na vitenge vya malawi? Akuache