Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,684
- 45,613
Uende ulaya,ukapige picha na riki rozi,unitumie wasup,nione wivu,roho iniume mm,.hapana kwakweli baki tuu hapahapa kwa jiwe kuu lililowashinda waashi..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hutaki nichukuliwe nikwende ulaya hutaki zawadi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uende ulaya,ukapige picha na riki rozi,unitumie wasup,nione wivu,roho iniume mm,.hapana kwakweli baki tuu hapahapa kwa jiwe kuu lililowashinda waashi..
Uko vzr u nalewa na vigogoNiko nakunywa na wakuu wa wiwili hapa..
Wanasalimia watu wa jf sana.
Wozzaaaahh[emoji119][emoji119][emoji119]Nilianza nikiwa na miaka 13,,na sizioni dalili za kuacha..
Sijapotea kihivo Shunie..church naingiagaHahhahha ila kwa church jitahidi bwana uwe unaenda
Sijapotea kihivo Shunie..church naingiaga
Naombeni majina yenu niwatumie za kulewea SAA hz ,kabla sijazima ,Niko western Union hapa View attachment 859266
Sharti aweke jina hapa hapa ,si kwingineKumekuchaaa
Ngoja wanakuja kukutumia
Sharti aweke jina hapa hapa ,si kwingine
[emoji41][emoji41][emoji41]..Uko vzr u nalewa na vigogo
Ze kasava!!Mbona ABJ anacheka cheka hivyo mkuu..
Au lile hogo halimtoshi..?
We mwali wewe, tema mate chini!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kitu cha kutoana kizazi
Usisahau kuwapa salaam zangu[emoji41][emoji41][emoji41]..
Take it Easy bruuh.
Ndio nasema hivi!!Hahahah huwa hamsemagi
We mwali wewe, tema mate chini!!
Ndio nasema hivi!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hivi sasa ni saa 17:44 jioni
Mambo ya kuamshiana wadudu saa hizi sio poa shunie