Makapuku Forum

Kampuni ya Apple sasa hivi ina thamani ya zaidi ya dola trilioni 1 (Tshs. 2,281,000,000,000,000) ambapo imekuwa ndiyo kampuni ya kwanza Duniani kuwa na thamani kubwa ikifuatiwa na Microsoft, Google, na Amazon ambazo zote kwa sasa zina thamani ya zaidi ya dola milioni 800.

 
Kwa mara ya kwanza wanasayansi kutoka nchini Urusi wafanikiwa kuwafufua minyoo ambao walikuwa wameganda kwenye barafu futi 11 chini ya ardhi kwa zaidi ya miaka 42,000.
 
Wafanyakazi kwenye kiwanda cha foxconn ambacho kinatengeneza bidhaa za Apple nchini China, mazingira wanayofanyia kazi ni magumu kiasi cha kwamba wanalazimishwa wasije wakachukua hatua za kujiua kutokana na kuathirika kiakili na ugumu wa kazi kwenye viwanda hivyo, mpaka sasa watu 11 wamejiua kutokana na hali mbaya kwe ye viwanda hivyo.

Kwa kawaida mishahara yao ni dola 600 - 800 kwa mwezi ila mazingira ya kutengeneza hizo iphone, ipad, na i zingine si rafiki kwa binadamu.


 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…