Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,081
- 464,043
Eeenh





kuachwa kumekuuma eenh ebu hii nyimbo ikusindikize ulipo mfyuuuuuuu lee mume wa mtu sahizi shauri ako
Hahaha karibu sana,mie sito kukula 😀Me sikulani nakuja kwa shayo kukupa kampaniusinifukuze







Hee,.hata Mimi jomonii siwezi kuacha heineken easily hivyo,.hell nooo,.
Hujalewa kweli weweNina utoto gani wa kuchukuliwa mm
Hahaha karibu sana,mie sito kukula 😀


mmmmm basi hapo ndo utanikula,vitu vikishakolea kichwani
Tutaniane vingine jamani sio matani ya mahela
Kwani unakula ugimbi wewe?mmmmm basi hapo ndo utanikula,vitu vikishakolea kichwani
Bibi weeh ndio yaleyale jifariji na nyimbotumeachana sijaachwaa mfyuuu
Hahahaha hapana siliKwani unakula ugimbi wewe?
HahahaTutaniane vingine jamani sio matani ya mahela
😂😂😂kwanza moyo huo sina chee,.niwanunulie bia,mkunywe,mlewe,muinjoi,mcheze mziki na kuimba kwa nguvu,mruke ruke,mgonge chiazz,muongee kiingereza,.afu mimi niwaangalie tuu tena nilipie..hapana jamanii "I want a beer" na Mimi woiiEti babe hivi unaanzajee uache tukiwa bar we hunywi unatununulia tunaokunywa![]()