miss IQ
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 849
- 1,200
[emoji3][emoji3]ipoo mpya kabisaMguuni kamba unayo!!?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3]ipoo mpya kabisaMguuni kamba unayo!!?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahaha, nini hiko?utakua ushainywa ,nipe ABC zakeKunywa chimpumu mkuu!!
Aahh! Hebu tuone.
Hapana mkuu mimi situii kilevi, ila huwa nawaona wanywaji wanavyobiringita mieleka.[emoji23] [emoji23]Hahaha, nini hiko?utakua ushainywa ,nipe ABC zake
[emoji767]101-03-821.M|T|C
Hapana mkuu mimi situii kilevi, ila huwa nawaona wanywaji wanavyobiringita mieleka.[emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]...wewe una kile kinywaji ambacho kirungu mpweke anapenda
Nawe pia kakaUsiku mwema wadau wazuri
Aahh!! Acha zako bibie, kesho unaijua weye, mla mla leo bibie.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kila siku naskia shule za english medium, hivi hakuna za maximum nikupeleke ili sentesi yako uiweke katik maximum kienglish tuelewane wawili tuu[emoji23] [emoji23]
Hata mimi nilisoma enzi za simu jinga, kabla haya masimu janja yao kuja.....mimi nimesoma chuo na shule za vidudu tu enzi hizo basi, mambo haya ya medium sijui low au maximum nimeyaonea zilipoingia simu za kijanja
Hahaha, hao watakua walevi,mnywaji huwezi biringita mielekaHapana mkuu mimi situii kilevi, ila huwa nawaona wanywaji wanavyobiringita mieleka.[emoji23] [emoji23]
Shikamoo cha ugimbiHahaha, hao watakua walevi,mnywaji huwezi biringita mieleka
[emoji767]101-03-821.M|T|C
Mlevi nae ni mnywaji ila anakunywa kupitiliza kiwango chake cha ubongo kuhimili alcohol.Hahaha, hao watakua walevi,mnywaji huwezi biringita mieleka
[emoji767]101-03-821.M|T|C
Morng shemela.Shikamoo cha ugimbi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tutampoteza na hiyo kituMpe chang'aa
Si anataka wembe, tunampa shoka kabisa!![emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tutampoteza na hiyo kitu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]kama chimpumu tu anakiogopa haya hiyo chang'aa si ataona watu wanatembelea vichwaSi anataka wembe, tunampa shoka kabisa!![emoji23] [emoji23]
Cha ugimbi[emoji3]Shikamoo cha ugimbi