Mkuu Leo mwisho wa mwezi ,halafu week end ,Shayo namuona anacheka tu ,na TV yake ya chogo kawawekea wadau hapa
[emoji767]101-03-821.M|T|C
Yako poa kabisa, leo kitambaa cheupe...mdau mambo vipi kaka! mzima sana wewe
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]...katika siku nimesikitishwa ni leo, kina Tumosa hawajakuambia kuwa wikend huwa sipokei shikamoo kutokana na sababu zilizo ndani ya uwezo wangu?
Niko maeneo ambayo shikamoo Ijumaa kwetu mwiko maana ni mwendo wa hi na hawayu tu. kama ukitaka kunisalimia kwa heshima unanisogelea unanihug kiarabu then unanong'ona shkamoo anko. hapo nami bila hiyana nakuagizia kinywaji unachopenda kwa hela yako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sikuambiwa jamani,hii ankoo...katika siku nimesikitishwa ni leo, kina Tumosa hawajakuambia kuwa wikend huwa sipokei shikamoo kutokana na sababu zilizo ndani ya uwezo wangu?
Niko maeneo ambayo shikamoo Ijumaa kwetu mwiko maana ni mwendo wa hi na hawayu tu. kama ukitaka kunisalimia kwa heshima unanisogelea unanihug kiarabu then unanong'ona shkamoo anko. hapo nami bila hiyana nakuagizia kinywaji unachopenda kwa hela yako
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji113] hi binamu...katika siku nimesikitishwa ni leo, kina Tumosa hawajakuambia kuwa wikend huwa sipokei shikamoo kutokana na sababu zilizo ndani ya uwezo wangu?
Niko maeneo ambayo shikamoo Ijumaa kwetu mwiko maana ni mwendo wa hi na hawayu tu. kama ukitaka kunisalimia kwa heshima unanisogelea unanihug kiarabu then unanong'ona shkamoo anko. hapo nami bila hiyana nakuagizia kinywaji unachopenda kwa hela yako
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Wakiiba jukwaa letu tutakudai ujue[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji113] hi binamu
Ankooo popote ulipo nipigieee now nina maelekezoo toka juu
Bila shaka muwazima wa afya.. Mwabesabesa au mwabesekewa
[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Kiukweli ni salama mkuu, namshukuru muumba, sijui wewe na waliokuzunguruka..hi, champ mwenyewe, za masiku mdau
Ww ndo umewaletea masofa walimuAnkooo popote ulipo nipigieee now nina maelekezoo toka juu
Niambie shemela..Shemelaaa makaveli10
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]...hi, umeweka tabasamu usoni kwangu, nidai chochote unachoweza kujinunulia ili hata nikishindwa kukupa basi unajinunulia na kufurahi pamoja na mimi
Shikamoo shemelaBila shaka muwazima wa afya.. Mwabesabesa au mwabesekewa
[emoji12] [emoji12] [emoji12]