Makapuku Forum

Ili ufanye kama ulichofanya kwa yule wa nyanda za juu


......ha ahahahha, mjomba na wewe husahau bhana, pale si uliniambia nikatest kumpima imani. Mbaya zaidi alijua mimi ndo wewe akafunguka zaidi lahaulalakwata tukajikuta tuko mwambao wa Tanga. Kilichofuata nilikuomba msamaha.
Hivi bado yupo?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…