Kofi Annan, aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amefariki dunia nchini Uswisi akiwa na umri wa miaka 80.
Annan mwanadiplomasia kutoka Ghana alishika wadhifa huo kati ya mwaka 1997 na 2006. Alikuwa akisumbuliwa na maradhi kwa muda.
View attachment 840111