Makapuku Forum

Hivi humu Makapuku hamna Ma Dr wale wa Binadamu? Nataka TU kujua kama Mawazo yanachangia kupata vidonda vya tumbo! Vipi kuhusu ndoto? Ndoto zetu hazitusababishii ulcers? Mimi Ktk hobby zangu, ndoto ni No. 1
Watakuja madr.slim wakujibu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] shukrani kwa ukarimu slim5 hebu tuwekee kapicha basi ka unachokula[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mamsap kankataza. Kasema sio vizuri kuwapa watu majaribu. Kuna ambao usiku wamelalia Maji tu
 
Siku zote maisha hayana usawa
Anaetafuta kwa haki havuni inavyostahili
Wakuu habari ya asubuhi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…