Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,495
- 35,288
Jimena amesema kwao yapoHayo maua nayatamani niwe nayo.
Hahahaaa...
Ukapuku uko kwenye damu.Kapuku for ever.
Maana lawama hizi
Mimi sio mwanasheria thus y nimem cc Bitoz atusaidieKwani mchungaji wewe ni mwanasheria.?
Hahahaaa babe kama huyu anastahili kibuti!Maana lawama hizi
Hapana kaka, sina mpango huo.Usitishwe na miaka 10 pambana
Basi sawa.Hakuna kitu
Hahahah hakikaHahahaaa babe kama huyu anastahili kibuti!
Nilikuwepo hapo, ila nsharudi zangu home Mwanza.Upo Dar au?
Basi sawa. Mjini Dar kuzuri eeehNilikuwepo hapo, ila nsharudi zangu home Mwanza.
Nakusalimu mkuuUkapuku uko kwenye damu.
Okay,ngoja basi tumsubiri Bitoz aje tumuulize.Mimi sio mwanasheria thus y nimem cc Bitoz atusaidie
Mimi mzima kabisa kaka.Nakusalimu mkuu
Giggy sio mtu?Okay,ngoja basi tumsubiri bitoz aje tumuulize.
Lakini kwani kuna kosa gani nikisambaza picha ya SUPU ya Gigy money kwamfano??
Mbona kulia tena
Nimecheka mpaka chozi honey!Mbona kulia tena