ZING SOKONI
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,512
- 57,104
Kweli kaka.Mungu ni mwema Kila wakati
Karibu tena kijiweni
Kweli kaka.Mungu ni mwema Kila wakati
[emoji8] [emoji8]That's my baby
[emoji12] [emoji12] [emoji12]Hivi maua kama haya hapa naweza kuyapata wapi?![]()
Asante. NimekaribiaKweli kaka.
Karibu tena kijiweni
[emoji257] [emoji127][emoji8] [emoji8]
[emoji131][emoji257] [emoji127]
Hahahahaha picha za [emoji735]
Ni njema sana braza, niaje?Habari ya jioni wakuu.
Hivi hakunaga sheria inayolinda kutuma picha bila ridhaa ya mwenye picha?Hivi maua kama haya hapa naweza kuyapata wapi?![]()
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji13]Hahahahaha picha za [emoji735]
Hahahaha.
Salama kabisa kaka.Ni njema sana braza, niaje?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] washenzi haswaaa!Hahahaha.
Kuna watu ni washenzi.
Ningemjibu chora kwenye karatasi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji13]
Hayo maua nayatamani niwe nayo.Mkuu kwani wewe hujayaona hapo pembeni!
Kwani mchungaji wewe ni mwanasheria.?Hivi hakunaga sheria inayolinda kutuma picha bila ridhaa ya mwenye picha?
Binafsi spendi kurusha picha ya mtu bila ridhaa yake
cc bitoz
Youngblood
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hili jibu lako noma.Ningemjibu chora kwenye karatasi
Kapuku for ever.Brother mimi nitabaki kuwa KAPUKU hata nikae hapa Jf miaka mia moja